Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, October 2, 2017

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Wakitowa Huduma za Kutoa ATM Card na Kuwaunga Wateja Wao Katika Mobile Bank Wakati wa Bonaza la Mkombozi Cup Uwanja wa Amaan Zanzibar!

Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ wakitowa huduma ya kibenki kwa wananchi waliofika katika viwanja vya Amaan Zanzibar wakati wa Bonaza la Michezo na Uzinduzi wa Ligi ya Mpira ijulikanao kwa Jina la Mkombocu Cup PBZ itakayoshirikisha timu 14. 
Wakati wa Bonaza hilo PBZ imetowa huduma za kugawa Card za ATM kwa wateja wao waliokuwa bado kuchukua card zao na kufungua akaunti kwa wateja wapya na kuwaunga katika mtandao wa mobile bank.








/ZanziNews

No comments :

Post a Comment