zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, November 9, 2017

Anna Tibaijuka atangaza kujitoa kwenye Ubunge!

Mbunge wa Muleba Kusini KUPITIA CCM, Prof. Anna Tibaijuka, ametangaza kung’atuka nafasi ya ubunge kwa kutogombea tena kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2020.

Mheshimiwa Tibaijuka alitangaza uamuzi huo walipokuwa wakizungumzia miaka miwili ya Rais John Pombe Magufuli tangu aingie madarakani ambaye alikuwa kwenye ziara mkoani Kagera.

Mama Tibaijuka amekuwa mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2010, na alishawahi kukumbwa na kashfa kubwa ya pesa za Escrow.

Hivi karibuni Mbunge wa SIngida Kaskazini Lazaro Nyalandu pia ametangaja kujiuzulu ubunge wake na kuomba kujiunga na chama cha CHADEMA.

1 comment :

  1. Haya, kapumzike mama upate kula hio hela yako ya 1.6 billion uliyotunukiwa!!!

    ReplyDelete