zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, November 9, 2017

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Azungumza na Ujumbe wa Benk ya CRDB Ikulu Zanzibar!

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea Hundi ya Shilingi za Kitanzania Millioni Ishirini na kutoka kwa Mkurugenzi Masoko katika Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa,zilizoahidiwa na Benki hiyo kwa ajili ya mchango wa madawati kwa Skuli za Serikali, sambamba na kupokea Milioni tano kwa ajili ya Ujenzi katika Skuli ya chekechea Madungu Wilaya ya Chakechake Pemba, ujumbe wa Benki hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na ujumbe wa Benki ya CRDB unaoongozwa na Mkurugenzi Masoko Nd,Tully Esther Mwambapa (wa pili kulia) ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mkurugenzi Masoko wa Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Benki hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Mkurugenzi Masoko wa Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa baada ya mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Unguja leo akiwa na Ujumbe aliofuatana nao, [Picha na Ikulu.] 09 /11/2017.

No comments :

Post a Comment