dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, November 29, 2017

Wanafunzi wa Skuli ya Msingi na Sekondari Chokocho Pemba Wakifanya Mitihani Yao.ya Kidatu cha Pili.!

Mkurungenzi Idara ya Elimu Mbadala na Watu Wazima Bi Mashavu Ahmada Faki akiwa katika ziara ya kutembelea Watahiniwa wa Kidatu cha Pili wakati wa zoezi la Ufanyaji wa Mitihani yao akiwa katika ziara ya kutembelea Skuli zinazoendelea na Mitihani yao alitembelea Skuli za Chokocho, Uweleni,Michezani, Mkanyageni na Makombeni kwa Wilaya Mkoani Pemba kuagalia zoezi hilo linavyoendelea katika Skuli hizo.



/ZanziNews.

No comments :

Post a Comment