dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, November 15, 2017

Zimbabwe:Jeshi lakanusha kupindua seriakali!

Viongozi wa ngazi za juu katika jeshi la Zimbabwe wakanusha uvumi kuwa serikali ya Robert Mugabe imepinduliwa.

Jeshi la Zimbabwe limefahamisha kuwa rais Mubage yupo salama yeye na familia yake.

Taarifa hiyo imetolewa baada ya kusikika milio ya silaha usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano karibu na makaazi ya rais Mugabe mjini Harare.

Katika tangazo lililosomwa katika kituo cha runinga Zimbabwe , jeshi limekanusha kuwa limepindua serikali.

Jenerali S. B  Moyo amesema kuwa jeshi linawalenga wahalifu katika serikali wanaohujumu uchumi wa Zimbabwe.

No comments :

Post a Comment