dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, December 2, 2017

Maandamano ya ZAFA Kuadhimisha Kuzaliwa Kwa Mtume SAW.Zanzibar!

Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiungana na waumini wenzao Duniani kuadhimisha Sherehe za Kuzaliwa Mtume Muhammad SAW huadhimishwa kila mwaka ifikapo mfungo Sita, Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiadhimisha siku hiyo kwa maandamano yakiongozwa na Ngamia yakielekea katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mgeni rasmin ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SUZA Dkt Issa Ziddy, amepokea maandamano hayo na kutowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam..












/ZanziNews

No comments :

Post a Comment