dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, December 3, 2017

Waziri Haruon Azungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zanzibar.!

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Haroun Ali Suleiman akizungumza na Naibu Waziri wa Sheria wa China Zhao Da Cheng alipofika Ofisini kwake kubadilishana mawazo na kushirikiana katika mambo ya Sheria katika Nchi hizi mbili mazungumzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo mazizini Unguja
NAIBU Waziri wa Sheria wa China Zhao Da Cheng akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman alipofika Ofisi kwa Waziri kwa mazungumzo ya ushirikiano wa Mambo ya Sheria.








/ZanziNews

No comments :

Post a Comment