dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, December 3, 2017

Wema Sepetu asema Uzalendo kwanza!

Msanii wa Filamu nchini Tanzania Wema Sepetu anaonekana mtu mwenye furaha baada ya kurejea CCM akitoa Chadema kwani tayari ameanza kuweka picha zake za zamani akiwa na Muigizaji mwenzake Steve Nyerere.

Wema Sepetu amelithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika akisema maisha yake yamekuwa ya furaha tangu arudi kwenye chama chake cha zamani cha CCM na kudai kuwa lazima tuwe wazalendo kwa kuweka utanzania mbele.

“This is how Happy iam nikiwa Nyumbani, Feels Good to be Home, CCM oyeee Uzalendo Kwanza… Tanzania Kwanza.“ameandika Wema Sepetu.

Wema Sepetu ijumaa ya wiki hili alijivua uanachama wa Chama cha CHADEMA na kurudi kwenye chama chake cha zamani cha CCM.

No comments :

Post a Comment