ONA KWANZA:
February 22 2018. Mkutano wa shirikisho la soka ulimwenguni FIFA ulifanyika Tanzania na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa soka akiwemo Rais wa FIFA Giann Infantino na Rais wa CAF Ahmad Ahmad na viongozi wa nchi nyingine wanachama wa FIFA kutoka sehemu mbalimbali duniani kujadili.Pamoja na kuwa mkutano ulilenga kujadili maendeleo ya soka lakini Waziri Mwakyembe ambaye ndio anadhamana ya michezo kwa kushirikiana na Rais wa CAF Ahmad Ahmad na Rais wa FIFA Gianni Infantino wamejadili ishu ya uanachama wa Zanzibar na kwa upekee wake wameangalia na wameahidi watalifanyia kazi viongozi hao wa ngazi za juu za soka Afrika na duniani kwa ujumla.
No comments :
Post a Comment