Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe John Palingo amemuweka ndani Diwani wa Kata ya Vwawa kupitia tikeki ya Chama cha NCCR Mageuzi Saul Mwakatundu na Mtendaji wa kata hiyo Rose Vicent kwa kile kinachodaiwa wamefanya ubadhirifu wa Fedha za Mradi wa Zahanati.
Aidha yameelezwa leo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Vwawa.
Aidha yameelezwa leo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Vwawa.
Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya hiyo alipoulizwa na Muungwana blog kuthibitisha tukio hilo amesema ni kweli, lakini hawezi kuelezea kwa undani kwakua yupo kwenye kikao.
"Ni kweli lakini siwezi kueleza kiundani, nipo kwenye kikao hivyo nitafute kesho asubuhi" Palingo
"Ni kweli lakini siwezi kueleza kiundani, nipo kwenye kikao hivyo nitafute kesho asubuhi" Palingo
No comments :
Post a Comment