Matreka 20 yalionunuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuimarisha ukulima wa Kilimo cha Mpunga Zanzibar yakabidhiwa kwa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, kuaza kutumika katika Msimu huu wa Kilimo cha Mpunga katika msimu huu wamvua za masika zinazotarajia kuaza muda wowote kuazia sasa.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika Kizimbani Zanzibar, ili kuweza kumsaidia mkulima kuondokana na ukulima wa zamani ambao hauna tija. matreta hayo aina ya new holland na mahindra yaliyoharimu jumla ya shilinngi bilioni moja, milioni mia nne sabini na sita,laki tatu sitini tano elfu mia mbili na hamsini.
Wazri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Rashid Ali Juma akikabidhiwa matreka hayo na Mwakilishi wa Kampuni hiyo. Aina ya New Holland na Mahinhra.hafla hiyo imefanyika kizimbani Zanzibar.
No comments :
Post a Comment