Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama amewataka waajiri wote nchini kuhakikisha wanajisajili kwa wakala wa Usalama na Afya Mahali pa kazi OSHA.Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma kuhusu maadhimisho ya siku ya usalama na afya mahala pa kazi duniani itakayoadhimishwa Aprili 28, 2018 mkoani Iringa, ametaka waajiri kutoa taarifa na matukio ya ajali, vifo na magonjwa yanapotekea ili serikali kuwa na takwimu sahihi.
Mhe. Mhagama amesema takwimu zinaonesha kuongezeka kwa matukio hayo yanagharimu asilimia 4 ya mapato yote Duniani ambayo yanatumika katika kuwahudumia waathirika mahala pa kaz
Mhe. Mhagama amesema takwimu zinaonesha kuongezeka kwa matukio hayo yanagharimu asilimia 4 ya mapato yote Duniani ambayo yanatumika katika kuwahudumia waathirika mahala pa kaz

No comments :
Post a Comment