Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, May 24, 2018

Hafla ya Futari Ilioandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Iliofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakili Kikwajuni Zanzibar na Kufuatiwa na Uzinduzi wa Taasisi ya Mimi na Wewe!

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza na kuwakaribisha Wananchi na Viongozi katika hafla ya Futari na Uzinduzi wa Taasisi ya Mimi na Wewe, kusaidia Jamii Zanzibar inayotowa Ujumbe kama si mimi ni wewe unaweza kumsaidia mwananchi wa Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakal Kikwajuni Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akiwa na Mwali Abdalla Mwinyi Khamis na Wananchi wengine wakijumuika katika futari maalum ilioandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja iliofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Viongozi wa Chama na Serikali na Wananchi wakijumuika katika futari maalum ilioandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja ilioendana na Uzinduzi wa Taasisi ya Mimi na Wewe 
Wananchi wakipata futari ilioandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja iliofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 

No comments :

Post a Comment