Kiongozi wa kiroho wa Iran Ali Khamenei ituhumu Marekani kushawishi mataifa ya Mashariki ya Kati kuliona taifa la Iran kama taifa adui.Ali Khemenei asema kuwa Marekani inaendesha vita vya kiuchumi dhidi ya Iran.
Hayo kiongozi wa kiroho wa Iran ameyazungumza katika maadhimisho ya siku kuu ya wafanyakazi Mei 1.
Katika hotuba yake, Ali Khamenei amekilaani kitengo cha azina cha Marekani kwa kuendesha kile ambacho amesema kuwa ni mpango machafu dhidi ya Iran ambao unalenga kudhoofisha uchumi.

No comments :
Post a Comment