Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la Fuoni Michenzani mara baada ya kulifungua rasmi Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani (kushoto) Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi). (Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani hafla iliyofanyika katika Wilaya ya Dimani Kichama,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi).
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la Fuoni Michenzani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao mara baada ya kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi alipofika kulifungua Tawi hilo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi).
No comments :
Post a Comment