Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte afahamisha kuwa askari watakao kutwa na hatia ya kuhusika na uhalifu watauawa.
Akizungumza kwenye mkutano uliofanyika ikulu na askari 102 ambao wanashukiwa na kuhusika na matendo ya uhalifu , katika mkutano huo rais wa Ufilipino amewafahamisha askari hao kuwa iwapo watarejea kutenda makosa hayo basi hato sita kutoa amri ya kifo dhidi yao.
Duterte amesema kuwa atachunguzi tuhumu zote zinazowakabili askari kadhaa.
Duterte amewahakikishia askari hao kuwa atawaua iwapo watarejea katika uhalifu. Rais wa Ufilipino ameendelea kusema kuwa ataunda tume maalumu ambayo itawafuatilia na kuchunguza mwenendo wao.
Askari wanatuhumiwa kuhusika na ulaji rushwa, ubakaji na biashara haramu ya madawa ya kulevya.

No comments :
Post a Comment