Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ LTD) imechukuwa kikombe cha mshindi wa tatu katika maonesho ya nane nane ya mwaka 2018 katika mkoa wa Mtwara. Ushindi huu umepatikana katika category ya huduma za fedha na mifuko ya jamii. Mshindi wa kwanza alikuwa Benki Kuu (BoT), wapili NMB na watatu ni PBZ Bank.



Keep it up PBZ Ltd.
ReplyDeleteWe are proud of you!
Msituangushe!