dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, August 29, 2018

Wajasiriamali wanawake Kisiwani Pemba wapatiwa mafunzo!

WAJASIRIAMALI wanawake Kisiwani Pemba wakiwa katika kazi za vitendo za ufumaji wa mazulia, baada ya kupatiwa mafunzo na shirikal la SOS Pemba, katika utekelezaji wa maradi wa kuimarisha familia, ili ziondokane na umasikini na kuweza kujitegemea wenyewe kipato.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAJASIRIAMALI wanawake Kisiwani Pemba wakiwa katika kazi za vitendo za utengenezaji wa Mikoba ya kisasa, baada ya kupatiwa mafunzo na shirikal la SOS Pemba, katika utekelezaji wa maradi wa kuimarisha familia, ili ziondokane na umasikini na kuweza kujitegemea wenyewe kipato.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya Mikoba iliyotengenezwa na wasajiriamili wanawake, waliopatiwa mafunzo ya utenganezaji wa mikoba hiyo kutoka kwa shirika la SOS Pemba, katika utekelezaji wa mradi wa kuimarisha famialia, ili ziondokane na umaskini na kuweza kujitegemea wenyewe kipato.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wajasiriamali wanawake Kisiwani Pemba, wakiwa katika kazi za vitendo wakikoroga sabuni ya maji, baada ya kupatiwa mafunzo na shirikal la SOS Pemba, katika utekelezaji wa maradi wa kuimarisha familia, ili ziondokane na umasikini na kuweza kujitegemea wenyewe kipato.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments :

Post a Comment