*Assalam Alaykum*
Allah akulipe kheri nyingi kwa kusoma message hii na kutizama Video yake. Hili ni ombi la msaada wa dharura la mtoto Haidar, miaka 11, anaeishi Mbagala, Dar es Salam. Haidar anaugonjwa unaohatarisha maisha yake ambao umempelekea upofu.
Tafadhali sana tusaidiane kumchangia chochote ili tumsaidie kwa tiba na mahitaji yake ya lazima ya kila siku.
Ukihitaji maelezo zaidi tafadhali tupigie:
Ustadh Sabri +44 7848 163246
Talib +447939584043
Bank: HSBC
Name: T. Talib
Acc. No: 52429713
Sort Code: 40-42-08
Reference: Haidar
Unaweza pia kuchangia kwa Tz shillings kupitia moja kwa moja kwa mama wa mtotoambae ni Bi Sauda Kassim Nyangenje; Tigo Pesa: +255.714.035.233
{Quran 99;7}
‘’Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona”
No comments :
Post a Comment