dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, September 28, 2018

Vikundi Vya Utamaduni na Sanaa Zanzibar Vikitowa Burudani Katika Viwanja Vya Maisara Katika Tamaasha la Kwanza la Urithi wa Mtanzania!

Wasanii wa Kikundi cha Sanaa Zanzibar wakitowa burudani wa moja ya ngoma ya Asili ya Msewe katika viwanja vya maisara katika maonesho ya Tamasha la Kwanza la Urithi wa Mtanzania linalofanyika katika viwanja hivyo jioni hii. 
Wasanii wa Kikundi cha Sanaa Zanzibar wakicheza ngoma ya Mwanandege jioni hii wakionesha Utamaduni wa Zanzibar katika Maonesho ya Tamasha la Kwanza la Urithi wa Mtanzania linalofanyika katika viwanja hivyo.

/ZanziNews.

No comments :

Post a Comment