Ikiwa leo ni siku ya nane toka kutokea kwa ajali ya Mv Nyerere katika kisiwa cha Ukara asubuhi na mapema wakazi wa kata ya Bwisya kisiwani Ukara wameonekana wakisomba maji hayo huku baadhi yao wakizungumza kuwa LICHUMU imepungua.
Kwa upande wa jinsia ya kiune asubuhi ya leo wamejaa mwaloni hapo Bwisya kwa ajili ya kuoga na kusafishia mdomo na watoto pia wameonekana wakiogelea kama ilivyokuwa hapo awali kabla ya ajali iliyosababisha simazi na majonzi makubwa hapa nchini ambapo ajali hiyo ilisababisha vifo vya watu zaidi ya 200 huku manusura wakiwa 41, huku miili ya watu 228 ikiwa imepatikana kufikia jana.
/ Muungwana
No comments :
Post a Comment