Pita pita yangu katika maeneo mbalimbali ya mitaa ya Unguja nimebahatika kukutana na ndege huyu katika Uwanja wa Amaan na kubahatika kupata picha yake na kuona maumbile yake akiwa na mguu mmoja wakati akiwa ametua na kujitafutia chakula katika eneo nililokuwa karibu nae na kubahatika kupata picha yake hii. Ili nitoe fursa kwa wananchi wengine kuona maajabu hayo ya ndege huyu akiendelea na maisha yake katika maeneo mbalimbali ya visiwa vya Unguja.
/ZanziNews
No comments :
Post a Comment