Ona maelezo ya mwanzo ya Bw. Niels Vesterbaek kwa Bw. Twa Mfaume Kawawa kwa kubonyeza hapa chini:
https://zanzibarnikwetu.blogspot.com/2018/10/an-open-appeal-from-denmark-to-pres.html
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Uncle Twa,
ReplyDeleteMaelezo yako yamejaa mashaka matupu!
Mashaka yanakuja pale mtu kama Dr. Charles Kimei ambae alikuwa the CRDB Bank Chief Executive Officer and the current Chairman of the Tanzania Bankers Association pale alipochukuwa uamuzi wa kumruhusu Niels atoe pesa. Dr Kimei sote tunamjua kuwa is a man of impeccable character and of great prudence and caution, ambae asingeliweza kuruhusu mzungu mgeni atoe hela benki dhidi ya mzawa kama kweli haki ingelikuwa upande wako. Dr Kimei kafanya hivyo kwasababu kaona kuwa ulikuwa huna haki yoyote.
Pili, wizara ya Ajira inapokuona wewe kama ni mwendawazimu na wakakupuuza kama ulivyoelezea mwenyewe, mashaka yanazidi kuongezeka, kwani hii wizara inauzowefu mkubwa wa kesi kama hizi na kama hawajasimama na wewe mzawa kama kweli ni mwenye haki basi hapo kwa kweli mashaka ya wewe kuwa mkweli katika hayo unayoyaeleza yanaengezeka.
Inaonesha kutokana na maelezo yako kuwa Bwana Niels alikuchukuwa kwenye hio kampuni yeye na kaka yake na wakakupa 25% share kwasababu ya jina lako lapili na latatu na kwahivyo yaliyomkuta Bwana Niels na kaka yake ni self-inflicted wounds, because our elders always say that you don't marry a woman because of her name - mtakuja kugombana tu mbele ya safari. Kama wao wangelimchukuwa Mtanzania mwengine yoyote yule wa kawaida asiekuwa na jina kubwa lapili na latatu kama wewe, basi hii biashara mpaka leo ingelikuwa inawasaidia Watanzania.
Jasho lako!!!! Jasho lako linatiririka dhahabu hata upate 25% ya kampuni bure? Zaidi, kampuni gani hio ambayo ma-Directors wake wanajichukulia tu mapesa wanapotaka na wanarejesha baadae? Kampuni kama hio haipo au labda ipo peponi lakini sio Dar Es Salaam.
Moreover, haiaminiki kuwa kaka yake Niels akuamini wewe zaidi ya mdogo wake. Sasa kwanini akamu-involve mdogo wake kwenye hii biashara kama alikuwa anakuamini wewe zaidi? Kwanini asifanye hio biashara na wewe tu?
Barua zako za huku na kule hazikuwa za kuisaidia nchi yetu isiibiwe bali zilikuwa za kukwamisha mambo tu yasiende mbele. Please, don't masquerade yourself as the defender of the present government, while you yourself are involved in the very evils and traits that the 5th government is all out to eradicate.
Bwana Twa tambua nijinsi gani wewe umejumuika Katika idadi ya watanzania wasiopenda maendeleo ya nchi yao ila njia nyepesi Kwa mwanana adamu kuepukana na dhambi Kama hiyo ya dhuruma na kumrudia mungu ni kutubu na kueleza ukweli kwani kheri mnyonge wa leo kuliko Kuwait mshukiwa badae pia mwangukie Bw.Niels na uombe msamaha Kabla ya yajayo. Kumbuka Wapi umeteleza kwani Ayati Bob Marley alisema kwenye wimbo wake mmoja hivi " you can fool some people sometimes but you can't fool all people all times" so tafakari chukuwa hatua.
ReplyDeleteMungu awasamehe hamjui mlisemalo!
ReplyDelete