dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, November 3, 2018

FELIX SIMBU NDANI YA NEW YORK MARATHON JUMAPILI HII APANIA KUVUNJA RECORD!

Felix Simbu ni Mtanzaia anaekimbia mbio ndefu Simbu ameshika tafasi ya tano kwenye mashidano Rio Olympic 2017 , na akashika nafasi ya 3, IAAF World Championships London 2017, yupo New York na yupo tayari kwa kuipeperusha bendera ya Tanzania katika mashindani hayo makubwa duniani. Simbu ni mategemeo ya Watanzania kwa sasa katika anga za kimataifa kwenye nyanja za mbio ndefu. Kwiyo macho na masikio ya Watanzaia ni kwake jumapili hii wakiona na kusikia ametutoa kimasomaso kwa kushika nafasi ya juu na kuitangaza vyema bendera ya Tanzania katika mashindano haya yanayojulikana duniani kote kama New York Marathon na kushikirisha wakimbiaji zaidi 50,000 kutoka duniani kote. 
Hapa Simbu akisubiri kufanyia massage katika hotel aliyofikia ya Hilton New York City
Hapa akipata Simbu akipata ukodak na Charles, Charles nae anashirikia Mashindano haya kila mwaka kwaiyo watakuwa wote wakiitangaza vyema bendera ya Tanzania.
Mchua misuri wake akiwa kazini na yeye akisubiri zamu yake
Hapa akiingia Hotel akiwa na NY Ebra!
Lobby ya Hilton Hotel New York akiingia 
Akipata ukodak akitoka ndani ya gari aliyomleta Hotelin

No comments :

Post a Comment