Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, November 18, 2018

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU AMTEMBELEA FREDRICK SUMAYE NYUMBANI KWAKE NA KUMPA POLE!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassa leo amemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Fredrick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi. Bibi Elizabeth Gisa Sumaye alifariki tarehe 7 Novemba 2018.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments :

Post a Comment