zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, November 2, 2018

Muendesha mashtaka mkuu wa Saudia asachiwa katika uwanja wa ndege wa Istanbul!

  • Munedesha mashtaka mkuu wa Saudia  Abdallah Al-Muajab ashachiwa  uwanja wa ndege wa Istanbu akirejea nchini Saudia
 Abdallah Al-Muajab, muendesha mashtaka mkuu wa Saudia aliekuwa nchini Uturuki kufuatia sakata la mwanahabari Jamal Khashoggi alieuawa katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul amesachiwa  uwanja wa ndege alipokwa akirejea nchini Saudia.

Mabegi ya  Abdallah Al-Muajab amesachiwa katika mitambo ya mionzi ambayo inafahamika kwa jina la kitaalamu  la « X Ray » kabla ya kuanza safari yake ya kurejea nchini Saudia.

No comments :

Post a Comment