Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, November 6, 2018

Mvuvi amuokoa mtoto wa miezi 18 baharini!



Mtoto mwenye wa miezi 18 alipotea baharini na kuokolewa na wavuvi nchini New Zealand.

Kwa mujibu wa gazeti la Nzherald la New Zealand, mtoto mwenye umri wa miezi 18 alipatikana katika baharini na mvuvi, ambaye alifungua hema ya kambi pamoja na familia yake kwenye Kisiwa cha Matata kaskazini mwa nchi hiyo.

Mvuvi huyo anaejulikana kwa jina la Gus Hutt amesema kuwa wakati alipokuwa katika shughuli za uvuvi aliona kitu kama mdoli majini.

"Kwanza nilidhani ni mdoli lakini baadae nikaja kugundua kuwa alikuwa ni mtoto aliyekuwa hai baharini humo",alisema Hutt.

Mvuvi huyo ameonyesha furaha kubwa kwa kuweza kuokoa maisha ya kiumbe hicho.

No comments :

Post a Comment