Katibu wa NEC Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole akipokea mipira ya maji safi na salama iliyotolewa na Mwakilishi Simai Mohamed Said (kulia) na Mbunge Khalifa Suleiman Salum (kushoto) kwa wananchi wa jimbo la Tunguu Zanzibar jana. Picha na Martin Kabemba.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole akipokea zawadi ya kofia kutoka kwa wananchi wa jimbo la Tunguu baada ya kupokea mipira ya maji safi jana.
Katibu wa NEC Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole akihutbia wananchi wa Tunguu kwenye ukumi wa Dunga wilaya ya Kati mkoa wa Kusini unguja baada ya kupokea mipira ya maji yenye thamani ya sh.milioni 5. Picha na Martin Kabemba.
Katibu wa NEC Itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole akishiriki katika kazi ya kuchimba mfereji na uwekaji wa mipia ya maji safi huko Tngu Zanzibar jana.
Picha na Martin Kabemba.
No comments :
Post a Comment