dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, November 19, 2018

RAIS Dk. Shein Azungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Kangi Lugola Ikulu Zanzibar!



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhe. Kangi Alphaxard Lugola, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Shein, akiwa na Viongozi wa Wizara hiyo Katibu Mkuu Meja Jenerali.Jocob G.Kingu na Naibu Katibu Mkuu Ndg. Kailima Ramadhan, leo Ikulu Zanzibar Novemba 19/11/2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Alphaxard Lugola, alipofika Ikulu Zanzibar na Viongozi wa Wizara hiyo kujitambulisha rasmin kwa Rais wa Zanzibar Dk. Shein leo Ikulu Zanzibar.Novemba 19/11/2018.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola, walipofika Ikulu Zanzibar kuona na Rais wa Zanzibar Dk. Shein, kwa kujitamulisha na kufanya mazungunzo leo Ikulu Zanzibar, novemba 19/11/2018. 
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Kangi Lugola, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar leo 19/11/2018.


(Picha na Ikulu)  

No comments :

Post a Comment