Rais wa Marekani Donald Trump amesema hawatampokea mtu hata mmoja katika kundi la wahamiaji elfu 7 kutoka Amerika ya kati wanaotaka kuingia Marekani bila kuwa nakibali cha mahakama.
Rais Trump alitoa maelezo hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii. Alisema bila kuwa na kibali cha mahakama hakuna yeyete atakayeruhusiwa kuingia nchini humo, kwamba wataruhusu wale tu waliokuwa na vibali halali kuingia Marekani kinyume na hapo wataojaribu kuingia kwa nguvu watawakamata na kuwafunga.
Kwa mujibu wa jarida la Washington Post limeandika Uongozi wa rais Trump umefikia makubaliano na uongozi mpya Mexiko kwamba wahamiaji wote wabaki upande wa Mexico mpaka watakapopata vibali kutoka kwa asakari wa uhamiaji wa Marekani.
Waziri wa mambo ya nje wa Mexico Olga Sanchez amesema hawajakubaliana na wazo hilo na hakujakuwa na makubaliano yeyote.

No comments :
Post a Comment