Mwandamanaji mmoja ameripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa wakati wa maandamano dhidi ya kupanda kwa bei ya mafuta nchini Ufaransa.
Kwa mujibu wa habari,mwandamanaji huyo ameuwa baada ya mwanamke aliyekuwa akiendesha gari kupoteza muongozo baada ya kuzungukwa na waandamanaji katika eneo la Savoy kusinimashariki mwa Ufaransa.
Polisi wamekuwa wakitumia mabomu ya machozi kuwasambaza waandamanaji hao.
Zaidi ya waandamanaji 1000 walikusanyika mbele ya ikulu ya Elysee wakimtaka Rais Emmanuel Macron kujiuzulu.
Watu wengine 38 wametiwa chini ya ulinzi.

No comments :
Post a Comment