Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, November 26, 2018

Ziara ya mwanamfalme wa Saudia nchini Tunisia yapingwa na mawakili!


Mawakili 50 nchini Tunisia wafahamisha kuwa wanataraji kufikisha malalamiko yoa mahakamani dhidi ya ziara ya mwanamfalme wa Saudia Mohammed  bin Salman nchini Tunisia.

Mratibu wa   mawakili hao  Nizar Boujalal amesema kuwa wanampango wa kufikisha malalamiko yao  mahakamani Jumatatu kupinga ziara ya mwanamfalme wa Saudia nchini Saudia.

Mwanamfalme wa Saudia anatarajiwa kufanya ziara yke rasmi nchini Tunisia ifikapo Novemba  26.

Nizar amesema kuwa mwanamfalme wa Saudia anashukiwa  kuhusika na  kio cha mwanahabari  Jamal Khashoggi alieuawa katika ubalozi mgodo wa Saudia mjini Istanbul mwanzoni mwa Oktoba.

No comments :

Post a Comment