TUJIKUMBUSHE
Pichani ni maji ya Mvua yakiwa yamefurika na kupelekea kufunga njia ambapo wananchi na magari hupita kwa taabu kubwa katika barabara ya Bonde la Kibonde Mzungu,wakati leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( hayupo pichani) alitembelea eneo hilo akiwa na ujumbe wake katika ziara maalum,[Picha na Ikulu.]14/05/2017.
/>Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi wa Barabara katika Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Ali Twahir leo wakati alipotembelea Bonde la Kibonde Mzungu kutoka na Mafuriko yalitokea hivi karibuni kutoka na mvua kubwa za Masika zinazoendelea kunyesha,[Picha na Ikulu.]14/05/2017.

No comments :
Post a Comment