AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, January 4, 2019

BREAKING: Kesi ya Zitto Kabwe, Mahakama yafanya maamuzi haya!


Mahakama Kuu ya Tanzania imehairisha kesi ya Kupinga Muswada, Kesi iliyofunguliwa na viongozi wa kisiasa Zitto Kabwe, Joran Bashange na Salim Bimani kupinga Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa. Ambapo kwa upande wa mahakama imeisukuma kesi hiyo hadi tarehe 11 January mwaka huu 2019 kwaajili ya kusikiliza majibu ya serikali,  ambapo hapo awali upande wa serikali waliomba mahakama kujibu baada ya miezi mitatu na mahakama imelikataa shauri hilo kufuatia kuonekana kuwa shauri hilo lina maslahi ya umma.

No comments :

Post a Comment