Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, January 2, 2019

Hii ndio miji yenye afya zaidi duniani!

GLASGOW CITY

  • Ifahamu miji 199 yenye afya zaidi ulimwenguni.
Kulingana na Numbeo, kampuni ya utafiti na takwimu za kimataifa iliyoanzishwa na wahandisi wa programu ya Google, mji wa Bursa umeonekana kuchukua nafasi ya tano katika orodha ya miji 199 yenye afya zaidi duniani.

Nchini Thailand, mji wa Chiang Mai umechukua nafasi ya kwanza katika orodha, mji wa Glasgow kutoka Uingereza ukiwa katika nafasi ya pili na Seoul kutoka Korea ya Kusini katika nafasi ya tatu.

Bursa imechukua nafasi ya 5 katika orodha ya miji yenye afya zaidi duniani.

Mji wa Bursa kutoka Uturuki umechukua nafasi ya tano ukiwa na alama 82.94.

No comments :

Post a Comment