Rais Nkurunziza anadai kuwa televisheni hiyo ya Ufaransa miaka miwili iliyopita ilionyesha picha video za mauaji ya kimbari kwa madai kuwa chama tawala cha Burundi ndicho kilichohusika.
Rais Nkurunziza anadai kuwa televisheni hiyo ya Ufaransa miaka miwili iliyopita ilionyesha picha video za mauaji ya kimbari kwa madai kuwa chama tawala cha Burundi ndicho kilichohusika.
Mahakama ya mjini Parisi nchini Ufaransa imeanza kusikiliza kesi iliyofunguliwa na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza dhidi ya televisheni moja ya nchini ya Ufaransa,mwanasheria wa Ubeligiji na Mwandishi wa habari wa Burundi David Gakunzi .
Rais Nkurunziza anadai kuwa televisheni hiyo ya Ufaransa, miaka miwili iliyopita ilionyesha picha za video za mauaji ya watu wengi,na kudai kuwa chama tawala cha Burundi ndicho kilichotekeleza mauaji hayo.Rais Pieere Nkurunzia,anasema kuwa picha hizo za video zilizoonyeshwa na televisheni ya Ufaransa,channel 3,zinadai mauaji hayo ya watu wengi yalifanyika katika viunga vya makazi ya Rais Nkurunziza jambo linalokanushwa na ambalo kwa sasa limefikishwa mahakamani.
No comments :
Post a Comment