Rais John Magufuli amemuonya Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko kuwa hatasita kumuondoa iwapo atabaini madudu katika wizara hiyo kwa kuwa ni Wizara muhimu sana, inapaswa kutolewa macho muda wote.
Dkt Magufuli amezungumza haya leo wakati wa Mkutano Mkuu wa wachimbaji, wafanyabiashara na wadau wa sekta ya madini katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu J.K nyerere.
"Nitakushangaa Waziri Bitoke usipokuwa mkali. Waziri aliyekuwepo hakuwa mkali, ndio maana nikaona nimpeleke akampumzike ofisi ya Waziri Mkuu," amesema Rais Magufulu.
Pia amemuelekeza waziri huyo kufunga cctv camera mererani na asipofanya hivyo ataondoka yeye na Naibu pamoja na Katibu wake.

No comments :
Post a Comment