Rais wa Jahmuri ya Muungwano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa Tanzania inauwezo wa kusambaza vyakula vya misaada hadi barani ulani.Ameyasema hayao katika Utiaji saini mkataba wa mauziano ya mahindi kati ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Shirika la Chakula Duniani (WFP).
"Watanzania tunaweza kusupply vyakula vya misaada hata Ulaya kwa sababu matatizo yapo tu, zipo nchi zenye shida Afghanistan, Syiria wanahitaji mahindi kutoka kwa watani zangu Wafipa," Rais John Magufuli.
Pia Rais Magufuli amewataka Watanzania fursa hiyo vilivyo, 'sasa fursa haziji tu kwa Mtu mmoja mmoja lakini pia zinaenda hadi kwa Serikali, kwamba Geographical position tuliyopo inaweza kutumika kama fursa'.
No comments :
Post a Comment