dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, January 21, 2019

Tundu Lissu amjibu Spika Ndugai!

Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki
amemjibu Spika wa Bunge, Job Ndugi baada ya kutakiwa kurudi nyumbani.

Utakumbuka siku moja iliyopita Spika Ndugai alimtaka Tundu Lissu baada ya kutoka kuugua kurejea nchini mara moja na kuacha uzushi na huku alipo hana ruhusa ya Bunge.

“Kuhusu ziara yangu ya Uingereza Spika Ndugai anajua kitu gani juu ya ziara hiyo? Anajua nilitoka hospitalini kwa masharti gani? Hajui. Anajua niko wapi sasa hivi? Hajui” ameeleza Tundu Lissu.

Awali Spika Ndugai alikaririwa akisema, 'ametoka kuugua aache uzushi arudi nyumbani, tunamsubiri nyumbani, kitu muhimu ni kwamba ajue hana ruhusa ya Spika ya kuwa huko anakozurura, sasa achunge kidogo, maana Spika ana nguvu zake,'.

No comments :

Post a Comment