dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, January 19, 2019

TÜRKİYE SCHOLARSHIPS!



ZAWATA EDU inakuletea Tangazo la nafasi za masomo nchini Uturuki. 

Turkiye scholarships ni nini?
■ Ni Udhamini wa masomo nchini Uturuki unaotolewa na Serikali ya Uturuki.
■ Inatoa nafasi kwa mwanafunzi kuweza kusoma katika moja ya vyuo zaidi ya 110, ndani ya miji zaidi ya 50 tofauti nchini Uturuki. 
■ Ufadhili huu ni asilimia 100% katika nyanja mbali mbali na ngazi zote.

■ Turkiye Scholarships kutoa nafasi za masomo kwa vijana ngazi zifuatazo.
▪ Shahada ya kwanza / Undergraduate 
▪ Shahada ya pili / Masters 
▪ Shahada ya uzamivu / PHDPHDt/Doctorate

○ Sifa za muombaji; 

☆ Undergraduate; 
1. Awe amemaliza au atamaliza mwaka huu form six [VI]. 
2. Awe na cheti cha form six, au karatasi za maksi za mtihani wa mwisho kama bado hajamaliza au hajapata cheti bado.
3. Kila Ufaulu ukiwa mzuri zaidi ndio ngao. Yaani A.B.C.D.  [DIVISION 1,2,3]

☆ Masters;
1. Awe amemaliza shahada ya kwanza au atamaliza mwaka huu.
2. Awe na na cheti cha kumaliza undergraduate, au Trascript [maksi] za mtihani wa mwisho kama bado hana cheti au hajamaliza. 
3. Ufaulu uanzie GPA 3.00

☆ PHD;
1. Awe amemaliza masters au atamaliza mwaka huu.
2. Awe na cheti cha masters, au Trascript kama bado hajamaliza au hajapata cheti bado.
3. Ufaulu uwe 3.00 kwenda juu. 

■ Nafasi za masomo ni kwa watu wote, sekta zote na ngazi zote. [ Dini, Science, medicine, education, Agriculture, Technology, Civil engineering, computer engineering na kozi zote uzijuazo wewe] 
■ Maombi yanatumwa kuanzia tarehe 15 January. mpaka 20 February 2019.

■ Maombi yanatumwa kupitia tovuti ya Scholarship rasmi. Ambayo ni; 
www.turkiyeburslari.gov.tr 
》 Utahitajika ufungue account ya scholarship, kisha ujaze taarifa zinazotakiwa kwa ukamilifu. 

■ Kuna video ya muongozo wa jinsi ya kujaza unaweza kuiangalia kutumia link hii
https://youtu.be/_t_agKFRRps 

■ Kama una swali, unataka kuoata ufafanuzi tuandikie email; zawatu2017@gmail.com 

■ Fuatilia mitandao ya kijamii; 
Facebook; Zanzibar Welfare Associations of the Turkish Alumni 
Instagram; @zawata_zanturk 
Youtube; ZAWATA

No comments :

Post a Comment