Mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amenusurika kifo baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye Boti ya Azam iliyokuwa ikitoka Dar kwenda Unguja. Mchana, haikujulikana Sababu ya kujirusha kwake. Hata hivyo aliweza kuokolewa na kukimbizwa Hospitali mara moja. Tukio hilo lilitokea siku ya jana leo majira ya saa sita
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
No comments :
Post a Comment