Balozi Seif akizindua rasmi Mfumo wa Kieletroni wa kuzuia na kudhibiti uhalifu unaotokana na vyombo vya Moto {Usafiri} hususan Piki Piki na Bajaji.
Balozi Seif akikaribishwa kuingia katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es salaam kuzindua Mfumo wa Kieletroni wa kuzuia na kudhibiti uhalifu unaotokana na vyombo vya Moto { Usafiri} hususan Piki Piki na Bajaji.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Mawasiliano Kampuni ya Ulinzi ya TAMOBA CITY FORCE juu ya Mfumo wa Kieletroni wa kuzuia na kudhibiti uhalifu unaotokana na vyombo vya Moto { Usafiri} hususan Piki Piki na Bajaji hapo Makao Makuu ya
Kampuni hiyo Kurasini Jijini Dar es salaam.
No comments :
Post a Comment