dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 9, 2019

MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MWANAMWEMA SHEIN MGENI RASMIN SIKU YA WANAWAKE GOMBANI PEMBA LEO!

 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) Bi.Gaudensia Kabaka, alipowasili katika uwanja wa gombani Kisiwani Pemba, kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kitaifa zimefanyika Kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani, jana 8-3-2019. (Picha na Ikulu)
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa Uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba jana, 8-3-2019.
(Picha na Ikulu)
WANAWAKE kutoka sehemu mbalimbali Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutuba wakati wa hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika katika Uwanja wa Gombani Pemba jana, 8-3-2019.(Picha na Ikulu) 

 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akitembelea Maonesho ya Wajasiriamali Wanawake Kisiwani Pemba yaliofanyika katika viwanja vya Gombani chakechake, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi. (Picha na Ikulu)
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiangalia Bidhaa za Wajasiriamali Wanawake wa Kisiwani Pemba wakati akitembelea maonesho hayo ya kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kisiwani Pemba Uwanja wa Gombani, kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar  Mama Asha Suleiman Iddi. (Picha na Ikulu)
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasalimia Vijana wa Madrasa kutoka Chakechake wakipiga dufu, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kisiwani Pemba katika Uwanja wa Gombani. (Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment