dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 9, 2019

Mtoto wa Lowassa atangaza kurejea CCM!

Mtoto wa Waziri Mkuu wa Zamani Edward Lowassa, Fred Lowassa ametangaza rasmi kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM) siku ya leo.

Fred ametangaza kujiunga CCM, ikiwa ni kumuunga mkono baba yake ambaye karibuni alirejea kwenye chama hicho akitokea CHADEMA.

Mtoto huyo wa Lowassa amesema walikubaliana na familia kwa pamoja kuhusu Waziri Mkuu huyo Mstaafu kuhama CHADEMA huku akikanusha baadhi ya taarifa za mitandaoni kuwa wamefanya hivyo kutokana na usumbufu kutoka serikalini.

No comments :

Post a Comment