dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, March 9, 2019

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN, AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA KAMPUNI YA TOUCHROAD GROUP YA CHINA!

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China. Bwa.He.Liehui, aliupofika Ikulu Zanzibar, jana 8-3-2019, kwa ajili ya mazungumzo.kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Jaji Thomas Mihayo.(Picha na Ikulu) 
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, kushoto  Bwa, He.Liehui, akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Jaji Thomas Mihayo.wakiwa katika mazungumzo hayo Ikulu Zanzibar, jana 8-3-2019.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Jaji Thomas Mihayo, akimtambulisha Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China, Bwa, He. Liehui, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo jana,8-3-2019,(Picha na Ikulu) 


/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Jaji Thomas Mihayo, wakitoka  katika ukumbi Ikulu baada ya kumaliza mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Touchroad Group ya China Bwa, He.Liehui,jana 8-3-2019.(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment