Msafara wa Zitto Kabwe na Maalim Seif umeshaingia ukumbi wa Ngezi, jimbo la Chambani Mkoa wa Kusini Pemba. Zitto na Maalim ambao wameambatana na viongozi wa kitaifa wa ACT Wazalendo wamepokelewa na mamia ya viongozi wa wilaya ya mkoani wa ngazi mbalimbali.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)




No comments :
Post a Comment