RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MPOKI ULISUBISYA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia Dkt. Mpoki Ulisubisya akiweka sahihi baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi nyenzo za kazi Dkt. Mpoki Ulisubisya baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia Dkt. Mpoki Ulisubisya akila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Mzee Ulisubisya Mwasumbi baba mzazi wa Dkt. Mpoki Ulisubisya baada ya kumuapisha mwanae kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mke wa Dkt. Mpoki Ulisubisya baada ya kumuapisha mumewe kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 20, 2019. Wengine ni Baba na wana familia ya Balozi huyo mpya.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment