Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, May 20, 2019

TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Michezo Zanzibar afariki dunia!

Ali Juma Shamhuna (Wa katikati)

Aliyewahi kuwa Waziri wa Michezo Zanzibar, Ali Juma Shamhuna amefariki dunia visiwani humo.

Pia Shamhuna aliwahi kuwa Naibu Waziri Kiongozi katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar .

Shamhuna alikuwa ni mtu wa karibu wa marehemu Ali Fereji Tamim (Rais wa zamani wa Chama cha Soka cha Zanzibar - ZFA).

No comments :

Post a Comment