Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, July 22, 2019

Saudi Arabia imeiachia huru meli ya mafuta ya Iran!

Saudi Arabia imeiachia huru meli ya mafuta ya Iran,baada ya meli hiyo kuwa imekamatwa katika bandari ya Jeddagh kwa muda wa miezi mitatu sasa.

Meli hiyo ilikamatwa na wafanyakazi wake 26 katika bandari ya Jeddah nchini Saudi Arabia.

Kulingana na shirika la habari ambalo halikutaka kujitaja jina nchini Iran,meli hiyo iliyokuwa imekamatwa toka 30 Aprili imeachiwa huru na Saudia.
Ripoti imeonyesha kuwa meli hiyo imeachiwa huru na wafanyakazi wake na sasa inaelekea Iran.

Meli hiyo ya  mafuta inajulikana kwa jina la "Happiness 1".

No comments :

Post a Comment