Waziri wa mambo ya nje ya Uingereza, Jeremy Aunt ameeleza kuwa kutakuwa na 'madhara makubwa''ikiwa Iran haitaachia meli ya mafuta ya uingereza wanayoishikilia.
Iran ilikamata meli hiyo katika eneo la Ghuba ilipokuwa ikisafiri majini ikiwa na bendera ya Uingereza wakati ambapo kuna mvutano kati ya Uingereza, Marekani na Iran.
Iran ilidai kukamata meli hiyo kwa madai ya kuzima GPS, kuingia kwenye mpaka kupitia njia ya kutokea badala ya kuingilia na kupuuzia maonyo.

No comments :
Post a Comment